Luke 5:37-38

37 aHakuna mtu awekaye divai mpya kwenye viriba vikuukuu. Akifanya hivyo, hiyo divai mpya itavipasua hivyo viriba, nayo yote itamwagika. 38 bDivai mpya lazima iwekwe kwenye viriba vipya.
Copyright information for SwhKC